Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,759
Shimba wa Buyenze...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tena + DSTV
Kabana kaachia[emoji28][emoji28][emoji28]Tatu bila Tatu bila
Basi yamekwisha hayo binti mpoleSi huyu mbaba mwenye siasa za chuki na picha za chupi chupi
Muache baba wa watu apumzike unamtaja taja sana acha shobo,ooh mods bla bla kibao ukweli umekuingia GET SOME HELPDah! Hebu weka mifano ya mimi kumzuia mtu humu kuandika atakacho. Mie si MOD HUMU WALA MAXENCE MELO. Siwezi kujibaraguza kama wewe. Angalia sasa hahahahaha lol! Unataka kunipangia hata hapa nisiandike!!!!! Lol! Nimejaa tele hapa nuna hadi UPASUKE na nitaandika chochote kile NIKITAKACHO!
Duh! Ungekuwa MOD wewe leo ningepigwa LIFE BAN hapa BUT THANK GOD! You’re NOBODY on this forum.
Michael MhagamaMisanya Bingi....
Kwa fujoAbubakar Sadiq...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yego bana kaingia mitin daah kile kichapo kikaliBasi yamekwisha hayo binti mpole
Tubeti mechi ijayo lakini zawadi yangu usimpe yego tena[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vingi tuDadavua unafaidi nini haswa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe hadi wanajeshi wanajamba!! Nimeshangaa na kusikitika sana leo![emoji17] [emoji17] [emoji17]
Yego tangu lini umekuwa mgumu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amun RaMkuu BAK,ni kawaida kwenye familia kupishana kauli.Muhimu ni kuwa na kawaida ya kuzimaliza haraka tofauti zinapo jitokeza ili maisha yaendelee.
Tusiya fanye maisha kuwa magumu kwa kujazana mahasira vifuani mwetu wakati hata hatufahamiani.
Jamani, tulio huku maisha yetu tunayajua wenyewe, wenzetu tupeni mbinu za kujikwamua kwenye mkwamo.Hizi siasa zisitutoe kwenye mstari wa kupendana bila kujali kabila.
BAK,SHIMBA, YEGOMASIKA,Kiben10 wa liver,ISIS,Carba,Numbisa, na wengine ambao sijawa taja mna umuhimu sana kwa maisha ya mmoja mmoja humu kama tutaamua kubadilisha mfumo wa maisha. Siasa ni maisha ya watu,lakini maisha sio siasa. Watu wananufaika kwenye siasa,maisha hayategemei siasa.
Tuishi kwa upendo na kuvumiliana,tumezoeana na tayari tumekuwa familia humu.Mimi ni muoga sana kushuhudia ugomvi,najua naweza kutoka humu ili nisishuhudie minyukano, lakini itasaidia nini? Nakuomba mkuu[emoji120] [emoji120]
Tumtegemee Mungu kwa kila jambo.