mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Yale maua ulikuwa unamtumia Carba si ulaini huo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tangu niko chekechea Poti.
Yale maua ulikuwa unamtumia Carba si ulaini huo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tangu niko chekechea Poti.
Sana mkuuJamaa kitambo sana kwenye gemmu...
Nakuona umegoma kulala....[emoji112] [emoji112]
Good newsReal Madrid hawataki tena kumsajili mshambuliaji wa Liverpool na Misri Mohamed Salah, 25 au mshambuliaji wa Tottenham, Harry Kane , 24.
Yuko gadoZay B
Kicheko kizuri kinashawishi kukaa macho mpaka saa nane usikuHuhuhuhu
Kwa nini?
BandMachozi...
Mkuu usijali,mimi mwenyewe sijajitaja japo wapo wengine wenye thamani kama yako. Nikisema nianze kuwataja kwa majina (Myoyambendi,moudgulf,Lumumba,Pyaar, ledada,Jakitoo, Cole Williams,na wengine wote) bado lengo langu litakuwa lile lile, tuishi kwa kundana na kuvumiliana.Nimemind hujanitaja
Huhuhuledada pole kwa kukosa usingizi
Itakuwa Mbogoso Beach hiyoChadibwa Beach
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah sasa inabidi tumtafutie dawaSalama mkuu,Cole amekuwa tatizo hauwezi amini.Sio yule kijana mpole,mwimba kwaya.Tulikuwa tukimsifia kwa usmati wake.Sasa amekuwa bure kabisa....
Anakuja na maswali humu wazee tunabaki tuna hangaika kutafuta majibu.Kitu cha ajabu kabisa, anataka tujibu anavyo taka yeye[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpuzi kabisa na undugu mimi na yeye umeisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wazee wa KijitonyamaBand
ha ha haItakuwa Mbogoso Beach hiyo
Lala ukue[emoji112] [emoji112]
Muda wa kulala badoNakuona umegoma kulala....