Kaaazi kweli kweli walahi
Sipandi uber mimi,nataka wewe unifuate na kunirudisha hata kwa guta ilimradi umenifuata[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyekiti yuko hukooo anapewa dozi ya 3*3 sijui 4*3Aaah, hapa MUGUMU anaweza kuwa matatani! Yaani sisi wawili tu ndani ya guta? Itabidi nimtafute Mwenyekiti wangu ili tuje kukuchukua wote! [emoji1][emoji1][emoji1]
Mwenyekiti yuko hukooo anapewa dozi ya 3*3 sijui 4*3
We kaa na ugumu wako bahati zikupite[emoji23][emoji23][emoji23]
Unauliza majibu kwenye mtihani usio na maswali?[emoji23][emoji23][emoji23]Ina maana Mwenyekiti amekiuka kanuni za chama? [emoji134]♂️[emoji134]♂️