Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
hahaaa mkuu mimi namichezo ya hela tuko toafuti kabisaa aisee"" sijui kucheza karata..sijui kubet..sijui kucheza .kolokolo..sijui kucheza pool table""sijui kucheza biko ..sijui kucheza 3mzuka ..sijui kucheza bingo .He he he he
nimekuona kule nkajua na wewe umepigwa na TMT
salamu zirejee kwako pia mkuuheraly nakusalimu kimya kimya
ha ha ha max, ruge, Lema, AY na kigogo mmoja mzito sna wa awamu ya tano.hahaaa mkuu mimi namichezo ya hela tuko toafuti kabisaa aisee"" sijui kucheza karata..sijui kubet..sijui kucheza .kolokolo..sijui kucheza pool table""sijui kucheza biko ..sijui kucheza 3mzuka ..sijui kucheza bingo .
yaani huwa nipo nipo tu ....kule nilikwenda kuwacheka kidogo waliopunwa na ontario ...bahati mbaya katika kucheka watu nikakuta mpka max nae kapigwa ....hahaa ikanibidi nitoke mbio nyingi mnooo ..maana mila na tamaduni zetu zinakanya vijana nakuwasihi kuaacha kuwacheka wakubwa wao ""