Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

He he he he
nimekuona kule nkajua na wewe umepigwa na TMT
hahaaa mkuu mimi namichezo ya hela tuko toafuti kabisaa aisee"" sijui kucheza karata..sijui kubet..sijui kucheza .kolokolo..sijui kucheza pool table""sijui kucheza biko ..sijui kucheza 3mzuka ..sijui kucheza bingo .
yaani huwa nipo nipo tu ....kule nilikwenda kuwacheka kidogo waliopunwa na ontario ...bahati mbaya katika kucheka watu nikakuta mpka max nae kapigwa ....hahaa ikanibidi nitoke mbio nyingi mnooo ..maana mila na tamaduni zetu zinakanya vijana nakuwasihi kuaacha kuwacheka wakubwa wao ""
 
ha ha ha max, ruge, Lema, AY na kigogo mmoja mzito sna wa awamu ya tano.
Wote wamepigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…