capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Kushiriki ngono kabla ya ndoa huitwa uasherati na kushiriki tendo la ndoa ama ngono nje ya ndoa kwa wanandoa (mtu asiye mume/mke wako) ni uzinzi.Hakuna tofauti kama ilivyo kwa tendo la ndoa na ngono
[emoji124] [emoji124] [emoji124]