Hayana formula so ni wewe kuyatengeneza japo wengine wametengenezewa tayariYaani haya maisha we yasikie tu mkuu
AiseeKushiriki ngono kabla ya ndoa huitwa uasherati na kushiriki tendo la ndoa ama ngono nje ya ndoa kwa wanandoa (mtu asiye mume/mke wako) ni uzinzi.