Muwe na asubuhi njema.
Mgumu mgumu mgumuuu ngoja nijiandae kwa ma style ya kufa mutu wacha weee ndoton itapendeza hahahaahNumbisa, leo lazima nikufanye kitu mbaya! Haijalishi kama ni ndotoni au uwanjani, hahaaa; Nilikuwepo! [emoji1][emoji42][emoji42][emoji124][emoji124]
Na wewe pia RafikiMuwe na asubuhi njema.
PouwaNa wewe pia Rafiki
Thank youNawe pia Linamo. Enjoy the rest of your weekend.
Mgumu mgumu mgumuuu ngoja nijiandae kwa ma style ya kufa mutu wacha weee ndoton itapendeza hahahaah
Hahaaa ambao hawajaitwa ujue hawajafanya usafi au hawajalipa ada [emoji23][emoji23][emoji23]Linamo , pyaar , ledada , numbisa , mwifwa , bilionea msigwa, B A K.
Kama hujasikia jina lako njoo mbele mpewe adhabu... Maisha ya shule bhanaaaaa [emoji23] [emoji1] [emoji119]
Halafu wewe samaki ikawaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Hii asiione Mwenyekiti! Weekend njema bana!
Linamo , pyaar , ledada , numbisa , mwifwa , bilionea msigwa, B A K.
Kama hujasikia jina lako njoo mbele mpewe adhabu... Maisha ya shule bhanaaaaa [emoji23] [emoji1] [emoji119]
Halafu wewe samaki ikawaje?