Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1.Huhifadhi fedha za dharula kwa ajili ya majanga yoyote yanayoweza kutokea. Na ukipatwa na janga lolote, hukurudisha nyuma na kuanza upya. Pia huna tabia ya kulipa madeni/ bili zako mapema na kusubiri ziwe nyingi na "kukomba" kipato chako chote.
 
2.Unaishi kwa kuangalia watu wengine wanakuchukuliaje… Si mashindano! Eti tu kwa kuwa rafiki yako mpendwa kanunua Simu ya kisasa sana basi kwanini na wewe usiuze ya kwako ununue kama yake bila kujali uwezo wako ni kiasi gani. Au mimi ni mashuhuli sana sitakiwi kuonekana kwenye daladala/bodaboda ntakodi tax.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…