[emoji4] [emoji4]Nafurahi kusikia hivyo my wangu
Salama mkuu za kwako?daahh acha kabisa hiyo ngoma.....
za asubuhi le boss
njema tu mkuuSalama mkuu za kwako?
[emoji122][emoji122][emoji122]Kwi kwi kwi LOL! Mie nilikuwa kipenzi cha walimu shuleni hivyo adhabu nilikuwa nazikwepa sana, utundu wangu nikiwa na wenzangu nje ya darasa. Darasani mie mtakatifu kitabu na mie.
[emoji28][emoji28][emoji28], Upande wa kudoji kazi nilikuwa naitwa karibu kila iitwapo leo.Hahaaa ambao hawajaitwa ujue hawajafanya usafi au hawajalipa ada [emoji23][emoji23][emoji23]
Shule raha sana
exactly indeed ....post nyingine mkuu