Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Amna Progress ipo...? Sentensi tata ajabu. Kwema lakini?Amna Progress ipo Sema pass zako Fupi
Hapa kijiweni kwema uwepo wako pia umeongeza matumaini...Amna Progress ipo...? Sentensi tata ajabu. Kwema lakini?
Machooooo!popo mbili zavuka mto
Nimerudi online kiongoziKichwa Kichafu uko online?
Nimerudi kiongozipepo la mauaji life! lishindwe! kichwa kichafu arudi salama
aaaaamin
Nakutafuta weweeeHabari zenu wakuu wote
KaribuNimerudi online kiongozi
Kula likes kwanzaBigbaba nae hana tofauti na kichwa kichafu,
Mtu ya batoto.
Karibu tena mkuu. Umetafutwa mno. Tulidhani kuwa wale jamaa wa Kibiti wameshafanya yao kwa sababu uliaga kuwa unaelekea huko. Karibu tena kamanda!Habari zenu wakuu wote