moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Twasonga mdogomdogoKanyaga twende
Test hiyooooo
Twasonga mdogomdogoKanyaga twende
Test hiyooooo
HahahahaDemu: bby umesoma ile message yangu
Boy: ile umeomba elf 50?
Dem: yeeeah bby
Boy: bado cjaisoma
[emoji12]
wanaume wote tuwe hivi hivi
Mi mzima wa afya tele..salama kabisa mkuu kichwa kichafu... habari ya wewe
Oyooooooooo bichwa bichwa ChafUHabari zenu wakuu wote
Kaka nimerudiKula likes mtani bado upo
Othman Dan FodioOthman Omar matata
UwiiiKuna relationships zingine unaangalia tu hivi unaona tu hii haita last long, Kwa mfano.... Mlevi na simu yake
Nimerudi na speed ya ajabu aiseeHATIMAYE AONEKANA
Sema nakukarbisha lakini usinikatie umemeHabari zenu wakuu wote
Changamkia fursa hiyo sis. Unaweza kuwa distributor globally. Kule Milwaukee Wisconsin kuna jamaa walijaribu kutengeneza. Sijui walifikia wapi.
Asante sanaKaribu tena mkuu. Umetafutwa mno. Tulidhani kuwa wale jamaa wa Kibiti wameshafanya yao kwa sababu uliaga kuwa unaelekea huko. Karibu tena kamanda!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]According to a survey, Africans have the longest Sex duration of about 24 minutes per session. And of that [emoji115]22 minutes is spent begging........[emoji18][emoji18]
Asante sana.Karibu