goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,156
Nyumbani na familia inaendeleaje.Salama kabisa.
he he he he[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Muone
Hahahaa hapana aisee.ha ha ha ha
nimeisoma CV yako ya sekondary aiseee
Ulikuwa general wa nyota 4 enzi zako
NdiooAh
kumbe watu mna imani zenu???
kwa kuwa hutahamaHuhuhuhu
Dooh sina mpango huo labda wewe
Njema kabisa, hofu kwakoHabari ya kuamka toto zuri, ila toto tundu
DahNdioo
Ukaribie maana kuna vutu vipya tumeviweka bwana....Anhaaa alafu siku nyingi sijatembelea huko wacha leo nikuje
[emoji13] [emoji13] [emoji13] wacha nikatafute CV yake kwanza alafu mtakwambia mengine hayo ni yapi[emoji87] [emoji85] [emoji22] [emoji91]
E.t.c.... ( na mengine )
Yapi hayo " jomoni "
karibu kijiweniNjema kabisa, hofu kwako
Nimekoroga uji, sema nimeujaza pilipili manga, vipi utaweza kuunywa???Nyumbani na familia inaendeleaje.
Leo umepika nini nije kula mchana. [emoji85] [emoji39]
ha ha ha haHahahaa hapana aisee.
Hapa mtanisingizia bure tu..!
Pande zipi nisogeekaribu kijiweni
ha ha ha haNyie god anawaona wallahiii yaani hamuulizagi maswali mnaaproach.... [emoji23] [emoji1] [emoji1] siyo watu wazuri ninyi.
Kwa komba, karibu na njia ya kuelekea Bwiru PressPande zipi nisogee