Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kiungo nilikuwa kweli kiungo...
Lazima uzoeane na mimi ili kupata Access kwa totoz VIP......
Daah nakumbuka kuna totoz moja tu inatwa NADIA ilikuwa ni ya kipakistani ndiyo ilikuwa inanichanganya.!
Nadia huwa wanakuwa wazuri always
uliipata, au na wewe uliishia kutafuta kiungo mwingine akusaidie tutani?

Asee hivi ushawahi kufanya forex??
Una vitabu vyovyote vizuri hapo??
 
Nadia huwa wanakuwa wazuri always
uliipata, au na wewe uliishia kutafuta kiungo mwingine akusaidie tutani?
Aisee sijawahi kutafuniwa kabisa kwenye kazi nyeti kama hizi...
Ila huyu kaka zake walitaka kuleta mambo ya Ubaguzi na Udini ahhahaha!
Japo nao walinifuata baada ya kutaka VIP Access kwa toto fulani hivi..
Asee hivi ushawahi kufanya forex??
Una vitabu vyovyote vizuri hapo??
Kuna likitabu fulani linazungumzia Cryptocurrency na Forex wamezungumzia..
 
Back
Top Bottom