myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Weekend imeshika kasi
Mimi Malcom naishi na kula hapa JF mazeee!huyo hawezi kukosa pote pote ...sehemu zote hizo mbili anazo
Mkuu niaje aisee!Weekend imeshika kasi
Salama kabisa..kwema kwako?Mkuu niaje aisee!
nitajifñya kama sijaona hiki ulichokisemaMimi Malcom naishi na kula hapa JF mazeee!
😀😀😀😀
Kumbe hujuiiiiii ???nitajifñya kama sijaona hiki ulichokisema
Never better my friend.....Nimefurahi kukuona unasogeza gurudumu!Salama kabisa..kwema kwako?
huwa unakula na kulala na wangapi/kina nani hapa'''??Kumbe hujuiiiiii ???
Mimi nakula na kulala hapa.!
Pamoja mkuu..Never better my friend.....Nimefurahi kukuona unasogeza gurudumu!
Aisee sifahamiani na mtu yoyote yule humu......Siyo juzi, jana, leo wala Kesho.huwa unakula na kulala na wangapi/kina nani hapa'''??
sawa comred nimekuelewaAisee sifahamiani na mtu yoyote yule humu......Siyo juzi, jana, leo wala Kesho.
Japo kweli huwa nalala humu JF kwasababu sina kitanda...!
😀😀😀😀😀
Poa poa komredi...!sawa comred nimekuelewa