Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mkuu tunaomba tafsiri ya hii aya hapa chini kwa kiswahili:

"Its only when a mosquito lands on your testicles, that you realize there is always a way to solve problems without using violence."
Literal/Plain translation.
-Mbu akitua kwenye korodani huwezi kumtoa kwa nguvu.

Contextual translation.
-Jitahidi kutatua matatizo kwa njia ya amani kama vile ambayo utamtoa kwa amani mbu aliyetua juu korodani zako.
Ukitumia nguvu utajiumiza na wewe. Basi Mwanafalsafa Confucius alikuwa anawaambia Wachina wa kipindi hicho cha vita ya wenyewe kwa wenyewe kilichoitwa (The Warring Period) kwamba wasipende sana kupigana kutatua kila tatizo kwa fujo...
 
Back
Top Bottom