[emoji23] [emoji23] [emoji23] na angefanikiwa kufanya huo mtihani na kufaulu hahaaa sijui angejilipaje [emoji125] [emoji125]Mapenzi ya kweli? Angekuwa hategemei "malipo" ningemwelewa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]WEDDING SHOW: How did you two meet?
SHE: Nilikua nakunywa Balimi zangu kumi pale club, kidogo kidogo nikaanza kutapika githeri. Alafu just imagine wale machali wote wenye nilikua na wao wakanihepa,but uyu jamaa alitokelezea from nowhere akanibuyia maji ya 20bob nikaosha mdomo na uso then akanipeleka kwa bedsitter yake..there I knew this was the man I wanted to spend the rest of my life with.
hata kama sio pesa umeibiwa muda..Kama umelipia...[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakushukuru million times kwa kunifanya nione ujumbe huu ambao umegusa kuta za ndani kabisa ya moyo WanguCole Williams njoo huku braza...[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu sasa wakati mwingine huyo anayeomba utakuta ana hela zake lakini hataki kuzitumia. Nadhani ni mapokeo ya kijamii kuwa mwanaume lazima amhudumie mwanamke...