toa likes upate likesnapenda kuwa LIKE wadada wa JF 1000, lakini I'D ndio zinazo ni changanya
Concept ya muda kwa Mwafrika ina utata mkubwa. Yaani Mwafrika ajihesabu kuwa kapoteza muda wakati alikuwa katika mgegedo? That's what we live for...[emoji23][emoji23][emoji23]hata kama sio pesa umeibiwa muda..
Nooooo acha nikimbieRudi hapa
...is priceless!Happiness
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha ni ujinga kabisa, maana huyo dada anajiumbia pepo tegemezi! Alafu huyo dada akichangamsha akili anakuwa na uwezo mkubwa sana! Yaani mimi kwa upande wangu na laani hii tabia period!Cole Williams njoo huku braza...[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu sasa wakati mwingine huyo anayeomba utakuta ana hela zake lakini hataki kuzitumia. Nadhani ni mapokeo ya kijamii kuwa mwanaume lazima amhudumie mwanamke...
Sema Jakitoo. Kwema?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Precisely...is priceless!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Ninauliza tuu*
Wale Wanaume wametoboa maskio[emoji101][emoji101] na kusuka nywele[emoji71]♀...Ndo wanaitwa ladies and gentlemen?
Hahahaha