Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kocha wa Manchester United Jose Mourinho ameanza mchakato wa kupata saini beki wa kushoto wa klabu ya Monaco, Mfaransa Djibril Sidibe, 25. (Le10Sport )

He will stay, sioni kama ataondoka huyo mkuuDah! Akirudi tena msimu ujao ni majanga makubwa sana maana hata wacheza wa maana hawataki kusajili Emirates kisa Babu.
Kocha wa Manchester United Jose Mourinho ameanza mchakato wa kupata saini beki wa kushoto wa klabu ya Monaco, Mfaransa Djibril Sidibe, 25. (Le10Sport )
Kocha wa Manchester United Jose Mourinho ameanza mchakato wa kupata saini beki wa kushoto wa klabu ya Monaco, Mfaransa Djibril Sidibe, 25. (Le10Sport )
Kocha wa Manchester United Jose Mourinho ameanza mchakato wa kupata saini beki wa kushoto wa klabu ya Monaco, Mfaransa Djibril Sidibe, 25. (Le10Sport )
I wanna grow old with youIts you - westlife
Hahaha mashabiki wa Asenali wanaongoza kwa kujinyongaHuhuhuhu
Sitaki kufa mimi
Mchezaji wa klabu ya Real Madrid Gareth Bale, 28, amesema hana mpango wa kuondoka kwenye klabu yake msimu huu licha ya mshambuliaji huyo wa Wales kuachwa nje kwenye mechi za hivi karibuni. (AS)
Wachezaji wanacheza km wanamgomo baridiSio kweli mkuu timu tu ni ya hovyo
Likes zinaendelea...Homa ya likes hahahah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]If you meet me with a beautiful lady , please talk to me in English.....si mambo na kuniuliza "Mshikaji mambo?" Shwaini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
He will stay, sioni kama ataondoka huyo mkuu
Labda ashindwe yuropa