Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mida hii mkuu? Wenye wao saa hizi tayari wameshaitwa kwenda kwenye majukumu muhimu zaidi kuliko kula likes...Wapi ledada???
Mida hii mkuu? Wenye wao saa hizi tayari wameshaitwa kwenda kwenye majukumu muhimu zaidi kuliko kula likes...Wapi ledada???
Hili nalo nenoMida hii mkuu? Wenye wao saa hizi tayari wameshaitwa kwenda kwenye majukumu muhimu zaidi kuliko kula likes...
Ulale salama sana.Usiku mwema wapendwa [emoji42] [emoji42]
Wanamumunya likesMida hii mkuu? Wenye wao saa hizi tayari wameshaitwa kwenda kwenye majukumu muhimu zaidi kuliko kula likes...
Siku imekuwa fupi kama mshahara wa mwalimuSiku inaaga
Kabisaaaaa...Na vilio juu !!!Wanamumunya likes
sijawai kubet ila kwa walio bet Man U kushinda nawapongeza sana .. asante pia kwa imani yenu juu ya timu yetu.Furaha ya kubeti haijawahi kuwa ndogo
Hajawahi kutokea mchezaji kama huyu...
nakuona kipepe umejichubua...Namuona mkuu capitalpool anapita kimya kimya
Tunakuonawana bodi """"
Nimemiksi mkorogo leonakuona kipepe umejichubua...
kwa maoni yko ..sawa ""Hajawahi kutokea mchezaji kama huyu...
hata mimi nakuona tajiriTunakuona
tunakuona