Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
[emoji16] [emoji16] [emoji16] kumbe muonjaji tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizo sijaonja bado
[emoji16] [emoji16] [emoji16] kumbe muonjaji tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizo sijaonja bado
Hivi mlifungwaje jana?[emoji23][emoji23]Katuombee bana tupate amani moyoni, manake jana tumevurugwa; Si mchezo! [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23]3-2Asante mwaego! Kuna mtu humu yaani leo haachi kunizodoa! [emoji57]
Aione YegomasikaManchester United imewaduwza Manchester City baada ya kutoka nyuma kutoka 2-0 hadi kuibuka na kushinda mabao 3-2 kwenye Uwanja wa Etihad.
Man United iliyokuwa nyuma kwa mabao 2-0 hadi mapumziko ilibadilika kipindi cha pili baada ya Paul Pobga kufunga mabao mawili ndani ya dakika mbili na kufanya matokeo 2-2 na kufuta yale ya City Vincent Kompany na Ilkay Gundogan.
Beki Chris Smalling aligeuka shujaa baada ya kufunga bao la tatu akiunganisha kwa umakini krosi iliyopigwa na Alexis Sanchez na kuwapa ushindi muhimu Manchester United.
Historia ya miaka sita iliyopita ilijirudia wakati Kompany alipofunga bao la kichwa akiunganisha kona Leroy Sane.
Ubinadamu kazi,,tena kazi kweli kweli
Aione Yegomasika
Hivi mlifungwaje jana?[emoji23][emoji23]
Pole yego
Nakusalimu tuNa wewe ndio walewale! [emoji124][emoji124][emoji124]
Nakusalimu tu
Hawayuuu,kwa hisani ya man u na liva[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ndo mpira lakini ufunge ama ufungwe.Overconfidence!
[emoji23][emoji23][emoji23]haina hiyoSikupi tena Banana Boat!
[emoji23][emoji23][emoji23]haina hiyo
Banana boat utatoa tu utake usitake la sivyo naja nansio
Acha tu[emoji55]Ubinadamu kazi,,tena kazi kweli kweli
Makaba[emoji23][emoji23]ndo chakula cha kwetu hicho.Nansio kuna viazi vitamu tu na chips dume. Kama unatumia, karibu! Naenda zangu kuvua sasa! [emoji112][emoji112][emoji124][emoji124]
Makaba[emoji23][emoji23]ndo chakula cha kwetu hicho.
Haya ubarikiwe[emoji112][emoji112]
Ledada[emoji7] View attachment 737918
Shkamo ledada[emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji7] View attachment 737918