Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

59891F9E-8C7E-4A4F-A023-5F07E82F4C70.jpeg
hahaa wajua unani insipire nammi nianze kumuelewa huyo ISIS lakini kwanza mpka nizijue faida zake ...maana mimi ni chizi ambition
Hapo sasa!
Hii ni inside out, mtu hawezi kukulazimishia inakuja tu yenyewe!
 
Je wajua hakuna konokono dume wala jike ?
Konokono ni kiumbe hai asiye na uti wa mgongo, kama ilivyo kwa kobe, konokono pia huwa na gamba mgongoni kwake, gamba ambalo huuficha mwili wake pindi anapohisi mazingira ya hatari, kichwani kwake ana minara minne (antenna) ambapo Mbili za juu huwa ndefu kuliko za chini, pamoja kwamba konokono ana macho lakini ni dhaifu sana katika kuona, antena za juu ndio ambazo hubeba macho na za chini ni kwa ajili ya kuhisi kwani macho yake hutangulizwa mbele zaidi kuliko mwili, hivyo nafasi ambayo hubakia antena za chini ndio hufanya kazi ya kuepusha mwili kuingia katika tatizo.
 
Back
Top Bottom