Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Lakini hapo juu si umekataa mkuu kuwa ulishakimbia insta? Kulikoni? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nipe mkuu
Lakini hapo juu si umekataa mkuu kuwa ulishakimbia insta? Kulikoni? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nipe mkuu
hahaa naona tamaa ya moyo imezishinda busara za utuuzima wakoHuyu hata akizidisha chumvi inabidi ujikaze ule tu ili usimuudhi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahaa Mara moja kwa mwaka sio mbaya ....Lakini hapo juu si umekataa mkuu kuwa ulishakimbia insta? Kulikoni? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasubiria fikra yako sahihi mkuu. Na kama utahitaji materials zaidi sema tu. Ukiamua nitonye ili tuwatangazie wanauzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ha ha ha ha ha
ngoja niifikirie proposal yako mkuu
Tunataniana tu mkuu. Na kuna busara gani mbele ya mbunye? Asikudanganye mtu. Wanashindwa mapadri na watawa waliokula kiapo cha useja sembuse...hahaa naona tamaa ya moyo imezishinda busara za utuuzima wako
hahaha kwani usiku huwa mnafnya nini ??
Wabongo sisi kwa misemo duh !!!