Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

We fukua makaburi mengine ni ya mazombie na vampires. Kabla hujamaliza kulifukua unaona ndio unazikwa[emoji23] [emoji23]


Ni mzinga ulionipiga mwishoni ulikuwa mkubwa ikabidi nikimbie[emoji23] [emoji23]
Hayo ya mazombi ndo mazuri hayo maana yana mengi sana[emoji23][emoji23]

Ile buku ya kubet ndo mzinga mkubwa?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…