Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baada ya kubaini udhaifu huo wa bunduki za Urusi, aliamua kutumia ubunifu wake kutengeneza bunduki bora zaidi za jeshi la nchi yake. Baada ya majaribio yake ya muda mrefu, hatimaye juhudi zake zilizaa matunda mwaka 1947 alipofanikiwa kutengeneza bunduki ya AK 47. Jina hili AK 47 ni kifupi cha maneno "Avtomat Kalashnikova model 1947"; namba 47 inasimama badala ya mwaka wa ugunduzi.
 
Luteni Jenerali MIKHAIL TIMOFEYEVICH KALASHNIKOV alifariki hospitalini tarehe 23 Desemba, 2013 akiwa na umri wa miaka 94 huko Izhevsk, mji mkuu wa jimbo la Udmurtia Urusi.
 
.
FB_IMG_1509950136412.jpg
 
Ni wazi kwamba tuko kwenye kipindi ambacho maisha yanataka akili ifanye kazi zaidi ya kawaida (extraordinary thinking). Mambo yamekuwa magumu kwa kila namna kiasi cha watu wengi kuchanganyikiwa na hii si kwa Tanzania pekee, bali sehemu nyingi duniani, kuna ugumu wa uchumi. Hapa tunakuletea mbinu na kanuni za kutumia ili kuvuka kipindi hiki ambacho watu wamekibatiza jina la ‘vyuma vimekaza’.
 
WAZO BORA LA BIASHARA
Watu wengi wakisikia neno biashara, jambo la kwanza ambalo huwaijia kichwani ni mtaji. Nilichobaini neno mtaji limekuwa ‘ukuta’ na kikwazo kikubwa cha watu kutimiza ndoto zao na kufikia vilele vya mafanikio. Kitu cha muhimu katika kujinasua na wakati mgumu kiuchumi ni kuwa na wazo bora la biashara.
 
Back
Top Bottom