Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watoto huhitaji malezi ya pande zote mbili bila kujali wazazi wao wako pamoja au la. Wanaume wengi wamekuwa wakisahau hili nakuhisi mama ndie mwenye jukumu pekee la kulea watoto. Mara kadhaa hurudi usiku na kukuta watoto wamelala na hutoka asubuhi sana kabla hawajaamka pengine bila hata kujua wameamka vipi. Zifuatazo ni sababu kadhaa kwa nini wazazi wanahitaji malezi ya baba:
 
Kuwaelewa wanaume.
Utashangaa lakini sehemu ya kwanza ya mtoto kujua mwanaume ni mtu gani, anaonekana vipi na tabia zake ni kupitia baba. Unavyoishi na familia yako ndio hivyo mtoto atajua wanaume wote wako hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…