Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7.Kwa ajili ya uchaguzi wa njia sahihi
Mtoto anaelelewa na mama tu huwa na njia moja tu! Nayo ni ya mama, ni vema mtoto kupata upendo wa wazazi wote wawili ili ajue ni njia ipi sahihi kwake.\
 
.Kuheshimu mamlaka
Kukaa na baba nyumbani humsaidia mtoto namna ya kuheshimu mamlaka mbalimbali za mahali husika. Mfano atajifunza kuwahi kurui nyumbani, kuvaa vizuri nk.
 
9.Kwa ajili ya Busara
Wanaume wanauzoefu mwingi zaidi na maisha ya kawaida hasa kuishi na watu uvumilivu nk. Ni kawaida kumkanyaga bahati mbaya mwanaume, ukamuomba msamaha na akakuelewa, lakini kwa wanawake wengi hadithi huwa tofauti. Hapa utaona ni jinsi gani busara hii anavyoihitaji mtoto kuoka kwa baba.
 
Eewaaaa.... Umezunguka weeee kumbe lengo lilikuwa hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani unapo muongelea konokono lazima awe "konokono" halisi,asikose unyevu nyevu kurahisisha mtreeezo wakati wa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…