Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndio maana nimetoa ushauri wa wenye kuoata watoto wahakikishe wanawaogesha na hayo, ili wawe salama baadae.
Hakuna anayezaliwa kunuka baadae, kama hivyo tests za hospitali zitasaidia kuondokana nayo naamini hivyo akijua nini hatakiwi kuweka mwilini au kula.
Actually kuna tests hospitalini. Yaweza kuwa chemical/hormonal imbalance mwilini na kuna vitu wanaweza kushauri ikiwemo aina ya vyakula na hata dawa. Kuna mchungaji mmoja alikuwa anaongelea hili kuhusu wanandoa waliotaka kuachana kisa mmoja wao mwili wake unanuka...
 
Back
Top Bottom