Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahahaha Aisee Enzi hizo nilikuwa bado muoga muoga katika haya majambo yetu LOL! Darasa Zima ilikuwa ni shingo huku ma kule sasa ngoja aje mpaka nyuma ya darasa halafu aanze kurudu mbele ya darasa 🙂🙂 Hapo kukodolea neema za Alhah ni kama kawa tena si kwa kuibia.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28],,, basi ulikuwa mwendo wa kugeuza shingo tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…