Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Andaeitini bwana. Eti maneno. Maneno enzi hizi?
Maneno mazuri ya kumrudisha mpenzi wako aliyekuacha
Maneno mazuri ya kumrudisha mpenzi wako aliyekuacha
Aaaaa wapi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchina mweusi na wewe ni memba wa CHACHAWA
Kwema kabisa mkuu.Nipo Mbeya,lakini wanaendelea vizuri japo kwa mdogo ilitokea shida kidogo.Huku kwema. Vipi kwako? Vipwa vyangu na dadangu hawajambo? Vipi unauguza? Kama jibu ni ndiyo basi Mungu na Atende kama ambavyo Amekuwa Akitenda [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wee mzee[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kumekuchaje huko? Tumshukuru Mungu kwa kila jambo[emoji120] [emoji120]
Jambo la kheri, tuendelee kuipigania siku kwa mema ili tuweze kuimaliza salamaYou got a hidden talent my friend, a comedian! [emoji1][emoji1][emoji1] Huku kumekucha na makucha yake! Mungu ni mwema sana!