Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Actually kuna tests hospitalini. Yaweza kuwa chemical/hormonal imbalance mwilini na kuna vitu wanaweza kushauri ikiwemo aina ya vyakula na hata dawa. Kuna mchungaji mmoja alikuwa anaongelea hili kuhusu wanandoa waliotaka kuachana kisa mmoja wao mwili wake unanuka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…