Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mke wa mtu sumu kali sana aisee
Raha yake ni wakati uko chumbani na mke wa mtu, nje kuna watu wanakuomba ufungue mlango!

Mme wa mwanamke ndo anakuomba kwa sauti nyembamba na ya unyenyekevu mkubwa,
"Bilionea Asigwa eeh fungua tu sinaa kituu kibaya kwaanii wewe uuu rafikii yaanguu eti fuunguua eeeh"

Wakati huohuo watu wanamuomba apunguze jaziba na aweke panga pembeni.
 
He he he he
hio inaitwa ajali kazini mkuu.

Hiwezi kutufanya kuacha kufanya kazi...
 
Raha yake ni wakati uko chumbani na mke wa mtu, nje kuna watu wanakuomba ufungue mlango!

Mme wa mwanamke ndo anakuomba kwa sauti nyembamba na ya unyenyekevu mkubwa,
"Bilionea Asigwa eeh fungua tu sinaa kituu kibaya kwaanii wewe uuu rafikii yaanguu eti fuunguua eeeh"

Wakati huohuo watu wanamuomba apunguze jaziba na aweke panga pembeni.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom