Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20180407-WA0032.jpg
 
Meneja wa zamani wa Chelsea, Jose Mourinho alifutwa kazi wakati wa msimu wa mwaka 2015-16, wakati timu hiyo ilipomaliza ikiwa katika nafasi ya 10 katika Ligi ya Premia.
Na maswali pia yanaibuka juu ya mustakabali wa kocha wa sasa Antonio Conte, ambaye ameongoza timu hiyo baada ya kushinda taji mwaka jana
 
Huku zikiwa zimesalia mechi sita, kihesabu Chelsea inaweza kufika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya, ingawa itabidi timu za Liverpool (ambao wamesalia na mechi tano) na Tottenham (ambao bado wana mechi sita za kucheza) ziporomoke.
 
Lakini hata kama wataweza kusonga mbele na kushinda Kombe la FA halitakuwa liwazo kamili machoni mwa Azpilicueta, 28.
"Kombe la FA ni kombe kubwa lenye historia kubwa lakini halitoshi kwetu," mchezaji wa safu ya ulinzi wa timu ya taifa ya Uhispania aliambia BBC.
" Tutajaribu kulishinda lakini kombe halitunusuru kwenye msimu," aliongeza.
 
Azpilicueta, ambaye goli lake la kipindi cha kwanza cha mchezo wa Jumapili lilifutwa na goli za kusawazisha la Javier Hernandez katika kipindi cha pili aliongeza: "Kupata sare nyumbani katika uwanja mwingine wa London ni suala linaloleta mfadhaiko kwetu sote na kwa mashabiki wetu. Hatujafurahi.''
 
Cha maana ni matokeo ya mwisho ya mechi, nimesikitika sana leo. Tulifaa kushinda mechi hii."
"Tulidhibiti mechi , tulikuwa na fursa za kutosha kushinda lakini tulihangaika hadi mwisho na labda wangeweza kushinda.
Imekuwa vigumu sana tena sana kwa kila mchezo unaochezwa."
 
'Mechi inaakisi msimu wa Chelsea'
Meneja wa Chelsea Antonio Conte alisema: "Nadhani kwa mchezo huu tunaweza kuuona msimu wetu. Tunaweza kubuni fursa nyingi lakini hatuwezi kuzichukua.
"Sisi hatukutumia vyema naafsi za kufunga, kisha tunashambuliwa mara mbili kwa makombora yanayolenga goli na moja linakuwa bao.
"Kama haufungi lakini unaunda nafasi za kufunga ni vigumu sana kushinda. Mechi hii inaelezea msimu wetu."
Kuhusu kutojiamini, Conte alisema "Morata alifunga magoli mawili lakini yakakataliwa kwa sababu ya kuotea. Anajiamini na tulitoa fursa za kutosha kwa Hazard, Willian na Morata kufunga. Lakini ninarudia, mechi hii inaelezea msimu wetu."
 
Kwa upande wake meneja wa West Ham David Moyes alisema: "Ni alama muhimu sana kwetu. Tulikuwa tunacheza dhidi ya timu ambayo ina wachezaji wenye thamani na wenye mashambulio makali waliocheza vizuri."
"La muhimu lilikuwa ni kwamba hatukuwa nje ya mchezo wakati wote, kwa sababu namna walivyopata bao lao la kwanza ilikuwa ni jambo la kimiujiza. Chelsea wanaweza kupata bao kwa njia nyingine lakini kufunga kwa njia ya kona lilikuwa ni jambo baya kwa mtazamo wetu ."
 
Kama huna iPhone please don't chat with me, kuna demu aliniambia hivyo. [emoji1] [emoji1] [emoji13]
 
Kwa mchezaji aliyeingia kama nguvu mpya Javier Hernandez kufunga bao la kusawazisha, Moyes alisema: "Chicharito hawezi kunishukuru kwa kumuingiza uwanjani kama mchezaji wa nguvu mpya, lakini ni mshambuliaji mzuri sana eneo la hatari na kila mara hufunga magoli.
 
Back
Top Bottom