Wala! Nakukumbusha tu.Na wewe kumbe mkereketwa wa Anfield! [emoji1]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] bttsWeee nina hasira hapa nimebeti nimempa Barcelona.... [emoji23] [emoji1]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], Wapi yegomasikaAtakuwa kahehuka saa hizi maana hakuna aliyedhani kwamba wanaweza kufanya walichokifanya. Naona kuelekea ukingoni kwa msimu MANC wamekuwa mdebwedo.
[emoji28][emoji28][emoji28],
Roma haikujengwa kwa siku 1
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]