Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Leo mambo ni hivii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hazard cfc mwenzako nakuelewa
Kumewaka moto leo....

[emoji1550]‍♂️[emoji125]‍♀️[emoji344]Tokotokooo[emoji125]‍♀️[emoji1550]‍♂️[emoji443][emoji445][emoji344] kila kona. Mrs. Davet (Mama D) si alianzishiwa thread na Gentycimine (spelling?) juzi juzi hapa? Ina maana hawakufika popote?
 
Aaah!acha hizo bhana
Hizi mambo hazina uandaeitini wala nini,kama umemuelewa unaenda fontifedi tu.

Ila wewe ni muoga,waweza anzishiwa uzi na usionekane[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bro wenyewe wanasema love is pawafuli age is just a number
Nb ondoa WAGUMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…