Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Nani kasema shujaa hazaliwi getto?Hakuna ubaya kama kufanya ubaya mbele ya watoto...
Nani kasema shujaa hazaliwi getto?Hakuna ubaya kama kufanya ubaya mbele ya watoto...
Hapo sawa[emoji4][emoji4]Aaah
Basi wacha asinitumie nilikuwa natania tuu
Braza hebu tuwasiliane unielekeze kwa kuwa reluctancy ilikuwa ni kubwa. Nadhani tubadilishane eksipiriensiSio hivyo sema sijui ata nikuelezee vp tu yani
Siwezi. Ila Wakenya inabidi wajirekebishe. Yaani mambo wanayofanyiana siyo kabisa...Ukiweka link nitashangaa sana[emoji19][emoji19]
Mambo ya humu ni pasua kichwa shem[emoji23][emoji23]Kumewaka moto leo....
[emoji1550]♂️[emoji125]♀️[emoji344]Tokotokooo[emoji125]♀️[emoji1550]♂️[emoji443][emoji445][emoji344] kila kona. Mrs. Davet (Mama D) si alianzishiwa thread na Gentycimine (spelling?) juzi juzi hapa? Ina maana hawakufika popote?
[emoji23][emoji23]
Am happy!Hapo sawa[emoji4][emoji4]