Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20180411-WA0050.jpg
 
Siwezi. Ila Wakenya inabidi wajirekebishe. Yaani mambo wanayofanyiana siyo kabisa...

Wanafunzi wa vyuo vikuu hata sijui wanakwenda huko vyuoni kufanya nini...Mungu na Akisaidie kizazi hiki kwa kweli !!!
Si kenya pekee nafikiri ni duniani kote.
Hiki kizazi cha sasa kinahitaji maombi sana.
Unajua ukishaingia chuo unajiona ni mtu mzima na una maamuzi ya kufanya unachotaka.
Sasa ukiwa na akili za kushikiwa na kama hujitambui ni shida sana,mwisho wa siku waishia huko kupiga picha ka hizo.
Sijui wazazi waonapo picha hizi wanajisikiaje.
Imagine mzazi anapambana kutafuta ada then bintiyake ndo anafanya mambo kama haya chuoni,it's sad!!
 
Mambo ya humu ni pasua kichwa shem[emoji23][emoji23]

Ngoja nikakuanzishie uzi sasa ole wako usitokee
Atakayenifanyia hivyo nitalog out JF na kwingineko na hatanisikia tena milele. Baba D mwenyewe naona kachanganyikiwa naona kashtukizwa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hebu katesti zali kwa kumwanzishia uzi Mwakaleli tuone response itakuwaje [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Hahahaha
Hamna jamaa hana haki ya kuchanganyikiwa
Alitaka chai sasa asilalamike ana ungua
 
Back
Top Bottom