carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hii comment aione PyaarUGUMU UMENIINGIA HATA MTU AJE VIPI NAKAZA
AKHASANTE UGUMU [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Hii comment aione PyaarUGUMU UMENIINGIA HATA MTU AJE VIPI NAKAZA
AKHASANTE UGUMU [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Sawa mkuu ufanye hivo aseeSoon nakutafuta mzee
Hapo sawaHahaha
Si na fuata yale maelekezo yako mam
[emoji1]
Bro Umeanza. Mwakaleli akiona hapa yanakuwa maneno...Kwema lakini?F***
WAGUMU for life...Mmh!!
Eti wagumu
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]me too
Hahah!! Aisee shukrani bossHongera sana mkuu. Shunie ni ndoto ya kila kidume hapa JF na kuna nyuzi kibao jamaa wakihangaika. Toto la Kitanga hilo baba...Safi sana Baba D....
Nataka weweAtakayenifanyia hivyo nitalog out JF na kwingineko na hatanisikia tena milele. Baba D mwenyewe naona kachanganyikiwa naona kashtukizwa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu katesti zali kwa kumwanzishia uzi Mwakaleli tuone response itakuwaje [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Braza mi mwenyewe nime kukubaliHahah!! Aisee shukrani boss