Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kakolea. Tumhongereshe tu huyu mwenzetu kwa sababu hakuna namna...Braza mi mwenyewe nime kukubali
Shunie namfaham toka naingia jf
Sijawahi ona alicho fanya leo yaan kwanaza nilishangaaaa mnooo
[emoji23][emoji23] unapenda kukazia hapaPresha yake ilipanda kidogo
Kuanzishiwa uzi kuwa umemtokotesha Shunie unafikiri kazi rahisi?Presha yake ilipanda kidogo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]Nataka wewe
Hivi wewe ni muoga hivyo??
Sitaki kuamini kwakweli.
Mwakaleli ni changamoto,atakuja na swaga za saksafoni uzi utaanza kuwaka moto injini zitaanza kutokota mpaka kwa wachangiaji[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah!! Yaani mzee acha tu ni story ndefuBraza mi mwenyewe nime kukubali
Shunie namfaham toka naingia jf
Sijawahi ona alicho fanya leo yaan kwanaza nilishangaaaa mnooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Jizazi....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaKakolea. Tumhongereshe tu huyu mwenzetu kwa sababu hakuna namna...
Mr. Mchungaji....
Mweee mimi nitakufwa kwa presha[emoji23][emoji23]Si kama za hawa wenzetuu [emoji23]
Thired itakayo kufanya usine kama braza wangu hapa[emoji23]