Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Nakutetea ujue?[emoji23][emoji23] unapenda kukazia hapa
Me nakuvizia wewe tu nione utakavyokimbia jf hapa[emoji23][emoji23][emoji23]Kuanzishiwa uzi kuwa umemtokotesha Shunie unafikiri kazi rahisi?
Hivi wewe una nishwawishi mambo gani hayo!![emoji1]Mweee mimi nitakufwa kwa presha[emoji23][emoji23]
Ila tufungie siku ya leo na thread kwa ney basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera sana mkuu. Shunie ni ndoto ya kila kidume hapa JF na kuna nyuzi kibao jamaa wakihangaika. Toto la Kitanga hilo baba...Safi sana Baba D....
Mamvo mazuri hayo,make it official basi na weweHivi wewe una nishwawishi mambo gani hayo!![emoji1]
.... ..... ...... ..... .......UGUMU UMENIINGIA HATA MTU AJE VIPI NAKAZA
AKHASANTE UGUMU [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Kwema bro unaweza kimbia ukifunguliwa uzi???Bro Umeanza. Mwakaleli akiona hapa yanakuwa maneno...Kwema lakini?