Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Vitu vingine ni vya kushangaza,kwani ni lazma upate mwanamke jf? Hawa hawa wanawake wa jf ndo walewale tunaowaletea uso wa mbuzi mtaani, kwenye vyombo vya usafiri
Ni kazi kweli kweli mkuu. Pengine hawa wa JF wako tofauti....Vitu vingine ni vya kushangaza,kwani ni lazma upate mwanamke jf? Hawa hawa wanawake wa jf ndo walewale tunaowaletea uso wa mbuzi mtaani, kwenye vyombo vya usafiri
Kazi sana mkuu,,,hizi social Network sometime zinaongeza madomo zege mtaani,, wanaume wanashindwa kuwaface wadada liveNi kazi kweli kweli mkuu. Pengine hawa wa JF wako tofauti....