Kwa siku tatu mfululizo sasa, wakazi wa jijini Dar es Salaam, hasa wanawake, wamekuwa wakifurika ofisi hiyo kuwasilisha madai ya kutelekezwa na wazazi wenzao, ikiwa ni kuitikia wito wa Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda ambaye ameeleza kuwa anataka kuwasaidia kutafuta suluhisho.