Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

dd16a936-2647-4ea7-99f4-5c76adc0cf36.jpg
 
Wanaume wa Dar mkiitwa kwa RC Makonda kuhusu kutelekeza watoto, tumia hizo points [emoji116][emoji116][emoji116] [emoji21][emoji21] utashinda tu kesi..

Land alienation -matajiri walinunua ardhi tukakimbilia dar, baada ya kukosa ardhi ya kulima.

Forced Labour -tulifanyishwa kazi ngumu kiasi kwamba tukakosa wanawake wa permanent, tukazaa na tukahamishwa eneo lingine la kazi.

Low wages -mshahara ilikuwa midogo hii ilisababisha kutotimiza majukumu yetu ya kuwalea watoto wetu.

Poor technology-hii imesababisha kukosa mawasiliano kwa wakati kiasi kwamba tukitaka kuwasiliana na watoto hadi tupande juu ya Miti.

Poor infrastructure - ilisababisha tupate tenda ya kujenga barabara, na kila tulipopita tuliacha Mtoto.

Lack of education- hii kwa upande wa kina Dada imewasabashia kutokujua kalenda zao vizuri, hii imesababisha mimba kutunga bila wao kujua.

Unemployment-kutokana na kuwa sina kazi ya kueleweka hii imesababisha kutotimiza majukumu yangu.

Taxation-kodi ya bidhaa imekuwa kubwa hii imepelekea kufunga biashara zetu ambazo tulikuwa tunapata chochote.

Yaani hizi points huwa hazikataagi swali ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole.....

Jana hapa ilipiga radi kali umeme ukakatika. Tayari messages za alert kutoka TANESCO yao kwenye simu zikieleza what happened na umeme utarudi lini. Kweli dk 2 umeme ukarudi. Jamaa wako siriazi balaa na haya mambo. Pengine ndo maana wameendelea....
Asante,huku kwetu hata hatufahamu nini tatizo na hawajatoa taarifa popote aiseee afrika kwa ajili ya waafrika tu
 
Back
Top Bottom