Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeangalia comment za mwanzon daah carba ulikua unamuita carpa ila tabia ya kupenda mswabwax ulikua nayo sana tu sema ulijitahidi kuificha nimeona comment moja nikaishia kucheka bila kuifukua
Jamaniiiii....

Niliona like yako post ya zamani nikakausha. Kumbe ulikuwa unafukua fukua....
 
Ni timu chache katika Ligi kuu ya soka zinazotaka zinazoonyesha ari ya kusiani mkataba na mchezaji wa safu ya mashambulizi wa Atletico Madrid Fernando Torres mwenye umri wa miaka 34 mwishoni mwa msimu . (Sports Illustrated)
 
Rais wa timu ya Roma James Pallotta ameomba radhi na akaahidi kulipa faini baada ya kuruka hadi ndani ya dimbwi la maji katika mji mkuu wa Italia alipokuwa akisherehekea ushindi wa timu yake dhidi ya Barcelona ilioiwezesha kuingia robo fainali katika michuano ya kuwania Ligi ya Championi. (Goal)
 
Back
Top Bottom