Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
'Kuzamia'
Sababu kuu ikiwa - wanamichezo kutoka mataifa masikini walitumia michezo hiyo katika taifa tajiri kutafuta uhifadhi kwa njia nyengine.
Mwezi Julai mwaka 2017, vijana sita wa Burundi waliokuwa wakishiriki katika mashindano ya roboti nchini Marekani waliripotiwa kutoweka, kwa mujibu wa polisi.