myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes na post
He! Wa nchi gani?Waandalizi wa michezo ya Jumuiya ya madola inayofanyika nchini Australia wanasema kuwa wanariadha watano kutoka Afrika wametoweka.
Usakaji wa raia wanane wa Cameroon waliotoweka siku ya Jumatano bado unaendelea.He! Wa nchi gani?