Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwenyu kina kaka
IMG_20180412_212012_428.jpg
 
Chelsea na Manchester City wameonyesha ari ya kusiani mkataba na mchezaji wa safu ya kati wa Nice Jean-Michael Seri kutoka Ivory Coast mwenye umri wa miaka 26, ambaye alitangaza kipengele cha euro milioni 40za nyongeza kwenye mkataba wake. (L'Equipe - in French)
 
Mshambuliaji a Manchester United Anthony Martial mwenye umri wa miaka 22- atataka hakikisho juu ya hali yake ya baadae katika klabu hiyo. Alikuwa amepewa mkataba wa miaka mitano lakini anakataa kuuisaini mpaka atakapohakikishiwa muda zaidi wa kucheza. (Times - subscription required)
 
Mchezaji wa zamani wa safu ya kati wa England Leon Osman anaamini kuwa Martial na mshambuliaji mwenzake wa Manchester United Marcus Rashford, mwenye umri wa miaka 20, wanapaswa kuondoka Old Trafford kuanza mwanzo mpya. (BBC Radio 5 live)
 
Kabisaa jamaa yupo njema sana ila napenda akiwa kwenye mood ya swali maarufu la jamaa mgumu aiseee anatiririka mapoint huyoooo(kama hujaelewa potezea mkuu,mhusika ataelewa)[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]
Hii dhambi ya kuniharibu sijui utaitubia wapi. Itabidi ufunge safari kabisa kwenda Vatican kwa Papa mwenyewe. Kabla hujanidhambisha yaani nilikuwa nafuata mademu PM na kuwapa injili mpaka wanakaribia kuokoka. Leo wanaona post zangu wengine wananiuliza "what happened?" Naishia tu kuwajibu " virolo modo hivi. Vipo viwili kule kwenye uzi namba wani JF vimeniharibu". Wewe na Carba tubuni ili nirudi kwenye mstari kama zamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeangalia comment za mwanzon daah carba ulikua unamuita carpa ila tabia ya kupenda mswabwax ulikua nayo sana tu sema ulijitahidi kuificha nimeona comment moja nikaishia kucheka bila kuifukua
 
Wewe!! Unafukua makaburi!
 
Back
Top Bottom