Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
NilipitaShunie ali ku mention kule ulipita?
Mwambie nammiss pia,ban yaisha lini??Likewise[emoji4]
Nyanya anakusalimia kasema kakumiss
Allihamdulillah Bro!! [emoji120] [emoji120] [emoji120]Huku poa ndugu yangu. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
ulikuwa waenda posta mpya kutoa injili[emoji134][emoji134]Hii dhambi ya kuniharibu sijui utaitubia wapi. Itabidi ufunge safari kabisa kwenda Vatican kwa Papa mwenyewe. Kabla hujanidhambisha yaani nilikuwa nafuata mademu PM na kuwapa injili mpaka wanakaribia kuokoka. Leo wanaona post zangu wengine wananiuliza "what happened?" Naishia tu kuwajibu " virolo modo hivi. Vipo viwili kule kwenye uzi namba wani JF vimeniharibu". Wewe na Carba tubuni ili nirudi kwenye mstari kama zamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yazamani yanafurahisha walah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeangalia comment za mwanzon daah carba ulikua unamuita carpa ila tabia ya kupenda mswabwax ulikua nayo sana tu sema ulijitahidi kuificha nimeona comment moja nikaishia kucheka bila kuifukua
Kwema mkuu za kwako?Kwema ledada?
Ukiipata nitagSijafukuaa nilikua natafuta picha flan hivi
Kwema kabsa,, za majukumu?Kwema mkuu za kwako?
I receive it in the Mighty name of Jesus our Lord [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Allihamdulillah Bro!! [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Enjoy Ur weekend & be safe
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23], Moja ikifaint nyingine inaingia kwa road[emoji28][emoji23][emoji23]
@Numbisa naomba sikirini shoti za hapa.Wamemchana Mshana Jr. na Demiss laivu. JF hii sijui kwa kweli [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1428809/
duh! haya..Video photoshoot....
View attachment 743173
Kuna mademu nilishawahubiria injili humu na wengine wakakaribia kabisa kuokoka...and then boom you and Numby showed up. From there imekuwa downhill. Roho inaniuma sana basi tu...ulikuwa waenda posta mpya kutoa injili[emoji134][emoji134]
Ila dah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi sina cha kutubu hapa maana rolo modo wako ndo kasababisha yote haya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muende wote. Kaone....Unaanzaje kujitoa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yazamani yanafurahisha walah
Uende vatican ukatubu ohoooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi unanini na sisi wenye katimba lakini??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 742748