Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2FD31637-2D12-41AD-A6D6-77677794031C.jpeg
 
Tunaona ni kwa namna gani tunavyopoteza nguvu kazi ya Taifa kwa maradhi yanayoweza kutibika na kuyakinga kabla hayajawadhuru walengwa. Imeelezwa pia saratani hiyo ya mlango wa kizazi inachukua asilimia 32.8 ya wagonjwa wote wanaougundulika kuugua saratani nchini kila mwaka. Kwa maana nyingine, saratani ya mlango wa kizazi ndiyo inayoongoza kwa kuua kwa mujibu wa takwimu kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI). Hivyo, tukiwa Watanzania,
 
tuna kila sababu ya kuhakikisha tunalinda maisha ya wanawake wa kesho badala ya kuwaacha wakipukutika kupitia maradhi hayo. Kwa sababu kupitia chanjo hiyo, Tanzania inatarajia kuwachanja wasichana 616,734 waliotimiza umri huo. Hivyo huu ni uwekezaji katika uchumi wa Taifa lolote lile duniani linalojali afya za wananchi wake. Na niwakumbushe Watanzania wenzangu kuwa chanjo hiyo inatolewa bure kama anavyosisitiza Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu
 
Back
Top Bottom