Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

0C160483-F635-413E-BFF9-AECB4446A4D1.jpeg
 
Kuna mademu nilishawahubiria injili humu na wengine wakakaribia kabisa kuokoka...and then boom you and Numby showed up. From there imekuwa downhill. Roho inaniuma sana basi tu...

Kwema lakini shemeji kipenzi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Arsenal ilitinga nusu fainali ya kombe la bara Yuropa kwa jumla ya mabao 6-3 dhidi ya CSKA Moscow licha ya sare ya 2-2 nchini Urusi.
Kikosi hicho cha Arsene Wenger kilikuwa nyuma 2-0 na chini ya presha wakati bao la Danny Welbeck la kipindi cha pili lilipowapatia ahueni.
 
Wenyeji walioongoza kupitia Fedor Chalov na Kirill Nababkin walikaribia kuwashangaza Arsenal kwa jumla ya mabao na kuongoza kwa bao la ugenini huku Petr Cech akilazimika kuokoa mkwaju wa adhabu wa Aleksandr Golovin pamoja na mkwaju wa Sergei Ignashevich
 
Arsenal ambayo inaongoza kwa mabao katika kinyang'anyiro hicho haikushambulia hata mara moja katika dakika 70 za mwanzo na Laurent Kolscieny alipoteza nafasi ya wazi kabla ya Welbeck kufunga.
Bao la Aaron Ramsey kunako dakika za lala salama liliwavunja moyo CSKA na kuipatia fursa Arsenal kufuzu katika nusu fainali pamoja na Atletico Madrid, Marseille and Salzburg.
 
Kikosi cha Viktor Goncharenko kilikuwa na ndoto ya kuwashangaza Arsenal wakati Chalov alipofunga bao la kwanza.
Lakini Arsenal iliompoteza Wilshere kupitia jeraha iliendelea kutawala mechi na kuonyesha mchezo mzurikabla ya kupata ushindi huo.
 
Mkufunzi wa Tottenham hotspurs Mauricio Pochettino anasema kuwa mshambuliaji wa Uingereza mwenye umri wa miaka 23 Harry Kane amekasirishwa kwa ukosoaji uliofuta baada ya hatua yake ya klabu hiyo kudai bao la pili la timu hiyo dhidi ya Stoke. (Telegraph)
 
Back
Top Bottom